Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Kawaida yetu kuvutana mashati pale mmoja anapofanikiwa
 
Huyu nahisi atakua mchezaji flani hivi wa timu ya ligi kuu tz
 
Sawa,boss in town mwenye roho mbaya
Ewe boss uchwaraaa Mpira ni magoli, tandaza boli kama barca au Brazil kama hufungi jua huna timu ndio maana Leo tuna bingwa wa dunia ufaransa na si brazil, croatia au ubelgiji waliokuwa na soka la kitabuni.nafikiri mpaka hapo utakuwa umetambua umuhimu wa magoli ktk soka au vipi boss uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa unatoka Mbagala,,,,Tandale,,,Vingunguti au Gongo la Mboto,,


Mpe tu Hongera yake kama walau unajua alipotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…