Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Hata sijui kwanini nimeitizama hii match goal zote hizi jamani kanchi kadogo
mazoezi yenyewe wanafanyia kwenye kibaraza cha mtu lakini kametukung'unta 3 kwa ubuyu
Aaaaaah tushagongwaaaaaaa
 
Ndiyo hizo tatu ndege yenu ya kukodi
Beki zilipwaya, viungo katikati vilipwaya, + uwanja nyasi bandia na hili kocha msaidizi kama sijakosea alilisema jana, kwamba huenda uwanja ukaathiri mchezo...
 
Hao mashabiki anawakuna kwa kufunga magoli, inaonekana umejaa chuki dhidi yake kwahiyo hata afanye nini hawez kukukuna mana hata hiyo ngozi huna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana ngozi tena
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Bahati bila kujituma na kuwa na malengo huwezi fanikiwa mkuu,Boban alikuwa na kipaji akafika ulaya akarudi baada ya kumiss Bangi,Ngasa Kendrick walimfuata hapahapa bongo ili wamsajili kwa dau nono Yanga wakamficha ili asiondoke
 
Kwa taarifa tu mwaka huu wa 2018/19 katika ligi ya ubelgiji Samatta kashafunga goli sita na kumfanya kuwa mfungaji wa pili kwa ligi na nafikiri wa kwanza kwa Timu yake ya Genk.
Ameiwezesha pia Genk kufikisha point 23 katika mechi 9 na kushika nafasi ya pili kwa msimamo wa sasahivi wa ligi. Kwa mwendeno huu katika mwaka wake wa 25 bado anayo nafasi ya kufanya vizuri sana
Hata mwaikimba alikuwa anafungwa,Welbek hufunga pia.Kuanzia nakuwa Mkenya.
 
Tatzio sio kocha wala samatta. Taifa stars haina wachezaji wazalendo wenye vipaji halisi
Kipaji anamaanisha nini? Kichuya hana kipaji,Fei toto hana kipaji,Yondani wala Beno Kakolanya ,Ajibu hawana vipaji? Nashauri utengue kauli
 
Hawana wanabebwa tu na mboyoyo za mitandaoni na magazetini. Kama wana vipaji wazibebe timu zao kimataifa kwanza kabla ya kulalamika kuchaguliwa Taifa stars.
Kipaji anamaanisha nini? Kichuya hana kipaji,Fei toto hana kipaji,Yondani wala Beno Kakolanya ,Ajibu hawana vipaji? Nashauri utengue kauli
 
Vipaji wanavyo tena vya hali ya juu,kuliko hata wachezaji wengi wa Ulaya .Tatizo ni makocha wakuwa rekebisha baadhi ya mambo na wao kujitambua kama professionals.Makocha wanashindwa hata kupanga vikosi.Lingine ni background.
 
Tatzio sio kocha wala samatta. Taifa stars haina wachezaji wazalendo wenye vipaji halisi
Nyie ndio wale watu wanasemaga bila goti lile lilikua goli......hivyo vipaji halisi na uzalendo unavyozungumzia ni vipi...
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Yeye kazi yake ni kufunga tu pale,hayo ya mbwembwe na madoido waachie viungo kina Pozuelo,Trossard na Malinovsky.

Eti bahati,hivi unajua ana goli ngapi mpaka sasa Jupiter League na ngapi Europa?
 
Back
Top Bottom