Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Nyie ndo mashabiki maandazi mnataka kusifia tu kila siku. Jiulize mwenyewe maana ya kipaji halisi
Nyie ndio wale watu wanasemaga bila goti lile lilikua goli......hivyo vipaji halisi na uzalendo unavyozungumzia ni vipi...
 
Kipaji anamaanisha nini? Kichuya hana kipaji,Fei toto hana kipaji,Yondani wala Beno Kakolanya ,Ajibu hawana vipaji? Nashauri utengue kauli
Hakuna cha kipaji wala kocha mfumo wetu ni kama wa siasa tu, yanayotokea kwenye siasa ndio hayo hayo kwenye mambo mengine yakiwemo michezo.
 
kwa tanzania yeye ni wa kipekee lazma tutambue uwepo wake....kwan wao genk kumnunua ni wajinga?
everton kumuitaj ni wajinga?....kizuri kinajiuza bwana....ina maana waliompa tuzo ya mchezaj bora africa wao ni wajinga?......au mkuu ww ni mtaalamu sana kuliko wao kwny kuchagua wachezaj bora?
Huku kila mtu mjuaji ,msomi na mchambuzi watakuumiza kichwa mkuu
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
kazi yake ni kufunga....kwan wewe ulitaka kiwango gani mkuu?...achambue watu kama messi au?
au awe anapiga vibaiskeli?.....mchezaj mzur hapimwi kwa baskeli....tunaangalia uwezo wake wa kufunga....maswala ya ladha sio lazima na ni ushamba....magoli ndio yanaweka recodi nzuri ya mshambuliaji....samatta ni mshambuliaji halisi...na magoli yanaonekana..haijalishi magoli ya namna gani ...sisi tunachojua tukimuweka uwanjani tunapata magoli basi...avizie..ashinde kwa kichwa...kwa mkono..kwa mdomo..hiyo sisi hatutaki kujua.
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
mkuu kushinda magoli mengi kwa kichwa ni sifa nzuri pia kwa mshambuliji lakini mbona wewe unaifanya iwe ni sifa mbaya tena?....nisaidie mkuu ulitaka aweje?
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Mpira wa jana tena (Tanzania 2; Cape Verde 0) kabahatisha. Duh Mungu anampendelea sana
Kutengeneza nafasi kubwa na ya akili na juhudi kama ile ya goli la kwanza alilofunga Msuva na ushirikiano wake wa akili za haraka haraka pale mbele na Mudathir, lile shuti la mita 16 lisilo la kwaida lililosababisha goli la pili, zote hizo kabahatisha
 
Samata aliniudhi a!ivyopiga ile penalty kwa madoido,wakati tulihitaji ushindi kwa lazima.
 
Kila tukio linatokea kwa kusudi.
Angepata ile penalty, hao jamaa wangesawazisha na mpira ungeishia draw au tungefungwa
Baada ya kukosa ile penalti Samata alijitahidi sana kusahihisha makosa yake na juhudi yake tumeona 80-90% ya goli la kwanza ilikuwa ni juhudi yake
Goli la pili pia 50% ilikuwa juhudu yake Samata japo utulivu na akili nyingi za Mudathir and ujanja wa Boko kuwahadaa mabeki ndio ulizaa goli la pili
 
Mpira wa jana tena (Tanzania 2; Cape Verde 0) kabahatisha. Duh Mungu anampendelea sana
Kutengeneza nafasi kubwa na ya akili na juhudi kama ile ya goli la kwanza alilofunga Msuva na ushirikiano wake wa akili za haraka haraka pale mbele na Mudathir, lile shuti la mita 16 lisilo la kwaida lililosababisha goli la pili, zote hizo kabahatisha
UHAMIAJI wachunguze uraia wa Mleta Uzi
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Tatizo la watanzia ndo hilo ..sasa mara unasema anatakiwa afunge mara unasema hatish kwa mabek..me naona kiongoz ungevaa wewe jezi ya samata alafu ukarekebisha makosa yake kma unaona mpira ni rahisi kama kuandika uzi mrefu
 
Mtu hawezi hata kufanya 0.000001% ya anachofanya Samatta afu bado anamdiss!

Everton! West Ham! Alaves! Warusi! Wote wanamuangalia Samatta afu wewe huku Muuza Ice Cream unajiona unamjua sana Samatta!
 
unataka samata awe anafanya nini zaidi ya kufunga? angalia uchezaji wa LUKAKU, HARY KANE, MORATA, na center foward karibia wote duniani yupo ambaye anapiga chenga, anakusanya kijiji, anapiga voley na kuscore? wote hao wanasubiri nafasi ya goli ipatikane wacheke na nyavu, hasa hao niliokutajia hapo. usiforce kila mtu awe messi.
 
Jamaa hajui mahitaji ya soka la kisasa! Soka la kisasa wanahitajika mafowad wanaojua kufunga tu! Ruud Va Nisterlooy ktk magoli yote aliofunga United..... ni goli 1 tu alifunga nje ya box!

tatizo yeye anataka samata awe na uwezo wa messi, ufungaji wa ronaldo, umilikaji wa mpira kama hazard na madoido ya isco. hakuna center foward wa karne hii mwenye huo uwezo, trust me samata ni world class striker, ndio maana kuna baadhi ya vilabu ENGLAND vimeanza kumnyemelea
 
Mtu hawezi hata kufanya 0.000001% ya anachofanya Samatta afu bado anamdiss!

Everton! West Ham! Alaves! Warusi! Wote wanamuangalia Samatta afu wewe huku Muuza Ice Cream unajiona unamjua sana Samatta!
Me nashangaa sana kusema kweli mtu unashindwa kusaport kaz ya mtz mwenzako unaenda kushabikia akina lukaku kama cyo utumwa ni nini huo..?
 
Back
Top Bottom