Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Baada ya kufanya balaaa jana, Belgium!
IMG_20181101_081205.jpg
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Hizo ni chuki binafsi
 
Waandishi wa habari wameanza kumdadisi Samatta baada ya kuvutia wengi kwenye ufungaji wake wa magoli hasa ile mechi ya Besiktas
Kwanza walifuatilia ada yake ya usajili kutoka TP Mazembe kwenda Genk halafu mshahara wake wakabaki wanaduwaa mfungaji mahiri namna hii analipwa Euro laki 250 kwa mwaka na kahamishwa kwa ada ya euro laki 500 tu

The transfer fee and salary of the Tanzanian striker were even more striking.
In the 2015-16 season, Genk added the colors of the Congo team TP Mazembe to 500 thousand Euros .
Tanzanian football player who can use both feet, 1.80 tall. The transfer fee of the player is 4 million euro
Beşiktaş'ı yıkan adamın maaşı şaşırttı
 
Naona dau linafika yuro 4 M sasa kumtoa Genk

Back
Top Bottom