Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Binafsi siamini ktk bahati kwani bahati na uchawi ni kaka na dada...naamini ktk bidii,kujituma na ubunifu ili kufikia lengo...Mbwana Samatta anajua na anajituma...frequency ya anachokifanya ndio inasema haya.
 
Umuumbue mara ngapi mkuu??

Sema ni vile tu alishatubu kitambo huyo hater kama alivyo Shafii Dauda aliyetaka kujipatia umaarufu kwa Simba na akafeli
Nlichogundua kwamba hawa wachambuzi mda mwingine bure kabisa,,

Naposema bure ni bureeeeee kabisa.

Leo hii sidhani kama tunahitaji hizi chambuzi za kidwanzi,, technology iko mbali sanaa,, ukiwa na smart phone na bando wala huhitaji ku tune radio et kusikiliza kipindi cha michezo,, labda ndugu zangu walio vjijin sawa,

Shukrani kwa kunikumbusha mkuu kumbe alishatubu.
 
Sure mkuu,alishatubu na Mbwana kila siku anazidi kutupia magoli nyavuni tu,anayejua anajua tu mkuu
 
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.

NB: Kama itaonekana sina haki ya kumkosoa Huyu dogo Basi no one has the right to critisize my opinions too.
Sasa hivi media utasikia mchambuzi Wa soka.Wengine ukiwaangalia na kuwasikiliza utabaini wameokoteza maneno vijiweni.Kazi kweli kweli na hii mitandao Utakuta wanachambua ligi ya Uingereza weeee!!Kazi IPO.
 
We unataka mjomba apige chenga nyingi au nn??? Jukumu lake ni kufunga... anafunga.... anajua kuji position afunge.. unataka afe ndo ujue yuko vzuri?? Anaongoza kwa magoli kwenye ligi... kipi kingene unataka kutoka kwake... we utakua hater mjomba.....(kama umewahi kuliona soka la chicharito utamuelewa samata)
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.

Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.

Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).

Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.

Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.

NB: Kama itaonekana sina haki ya kumkosoa Huyu dogo Basi no one has the right to critisize my opinions too.
 
🤣🤣🤣ameanza vizuri msimu wa 2019-2020
IMG_6312.JPG
 
Back
Top Bottom