Mbwana Samatta wa Genk kashasahaulika

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Mpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga vizuri kiasi kwamba huezi mfananisha na mdogo wetu Samatta.

Mechi ile ingine iliyopita Samatta alikuepo ila mchango wake ulikuwa hafifu ndani ya uwanja na timu kupigwa tatu bila. Pia na hata sasa katika Pro league ya Belgium huyu bro wetu hayupo katika safu ya wafungaji bora.

Kwa maneno haya machache ninaamini bado Samuel Etoo, Didier Drogba, George Wear na Nwako Kanu ndio watabakia kuwa wafungaji bora wa Afrika waliowahi tisha Ulaya.
 
usha ushamba bwana mdogo.. ligi ndiyo kwanza ndo zimeanza na pia ukumbuka ni mapema mno.. unaonekana ni mfuatiliaji mzuri wa genk ila una papara.. huyohuyo samatta mechi za mwanzoni katupia tupia ujue.. so may be hajakaa sawa thats why hata kocha anampanga 1st eleven mara nyingi tofauti na mwanzoni alivyojiunga.. ligi bado changa dogo..
 
Kwanza lazima ujue mechi ya jana Sammata aliingia uwanjani dakika ya 75 kwa sub.na ukumbuke aliingia tayari wakiwa wameshafunga magoli matatu.
Hivyo naona aliingia kwa kwa 7bu ya kudefence(goal)
 
Hauna lolote....Wivu tu na husda vinakusumbua...

Samatta alikuwa majeruhi wa goti...Amepona na jana ndio ilikuwa anarejea uwanjani toka apate majeruhi..

 
Huyu mtoa mada ni Mpuuzi Tu! Unawezaje kumfananisha Samatta ambaye Ana mwaka tu Genk sawa na Kina Drogba???.....mtu kama huyu utakuta labda Samatta alimgongea Demu wake toka yuko Mbeya! Then yeye mpaka Leo roho inamuuma kuona Samatta yupo Genk!
 
Una ugomvi gani na Mbwana?
 
Katika mechi hiyo timu ya Genk ilifungwa 3 kwa 2, sio tatu bila
 
Acha wivu na roho mbaya wewe! Af unajiita ketone, mkemia gani unawasiwasi hivyo!
 
Ahahahahaha huya mtoa mada kaporwa demu ahahahaha usijali kawaida ndo shida kuchangia dem na star alafu anafanya vizur siku alifanya vibaya we mume mwenza kiroho chako kwatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…