Bado tuko wajinga sana. Hatupendi hata kujifunza. Mfano kuna wakenya humu, lakini hatujiuliz mbona wao hawaleti nyuzi za kuponda vya kwao? Inabidi wabongo wenzetu hawa wenye roho za kichawi tuwabadilishe. Wakileta uzi wa kuponda tunaupita kama hatuuoni, kila akifungua haoni comment yoyote. watabadilika tu.Wabongo bwana sijui lini tutajifunza kupenda vya kwetu na kuvisifia hata kama ni kweli vinachemsha? Huo ndio tunaita uzalendo. Cha kwetu ni cha kwetu tu.
Sasa mtu anasema samata K atolewa fast eleven Wakat mtu majeruh maana yake nnAiiiii isifunge mie nimeshakuwa ADIKITED na mitandao nitaumia sana😀😀
katika soka kuna kupanda na kushuka, hatua aliyofikia samatta naamini hata wewe usingeweza kuifikia kwahiyo kumponda ni kuonyesha jinsi gani ulivyo na chuki na wivu dhidi yake.Mpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga vizuri kiasi kwamba huezi mfananisha na mdogo wetu Samatta.
Mechi ile ingine iliyopita Samatta alikuepo ila mchango wake ulikuwa hafifu ndani ya uwanja na timu kupigwa tatu bila. Pia na hata sasa katika Pro league ya Belgium huyu bro wetu hayupo katika safu ya wafungaji bora.
Kwa maneno haya machache ninaamini bado Samuel Etoo, Didier Drogba, George Wear na Nwako Kanu ndio watabakia kuwa wafungaji bora wa Afrika waliowahi tisha Ulaya.
Umenena ukweli, maalezo yake yanaonyesha, kufurahia kukwama kwa Samata.Mbona kama vile unaongea kwa kufurahia kukwama kwa Sammata na sio kusikitika? au una roho ya sambusa na korosho?!
Ili iweje? Unaweza linganisha etoo na Samatta hata muda wao wa kucheza ulaya haulingani, Natamani aje malaika aifungie hii mitandao ikija kufunguliwa samatta mchezaji bora barani ulaya na Chelseayey kasema tu
Ndio wengi wetu kama taifa tumebakisha hicho kutakiana na kufurahia mkwamo wa wenziwetu.Umenena ukweli, maalezo yake yanaonyesha, kufurahia kukwama kwa Samata.