Mbwana Samatta

Mbwana Samatta

Pale TP pana pesa kama ulaya 2,mbona mputu alifaulu arsenal lakini pesa ikambakisha.
 
Samata anatakiwa aondoke kabisa Simba na Tanzania kama anataka kuendelea... Ajaribu kwenda nchi zinazoheshimika kwa kukuza vipaji kama belgium, France

Kwakweli he is a gem na movement zake kama ni darasani tungesema ni mtaalam wa physics ya kufa mtu

the boy is a superstar
Alikusikia
 
Hao akina Samatta wapo wengi sana Bongo, na wapo wakali zaidi ya Samatta.
Walivyotokea akina Ngassa nao walisifiwa hivyo hivyo.
Dawa sio kumkimbiza Samatta nje ya nchi, tuanze kwanza kuijenga soka nzima ya Tanzania.
Huyu jamaa alikuwa anataka Samatta abaki Bongo, tulijenge kwanza soka letu halafu ndio tumruhusu. In 2011 the weed was really.
 
Leo katupia 2 tena ktk mechi kubwa na timu yake ikashinda 2bila
 
Hio game ilikua na standard liege hio game ilikua hatar

Genk kabakiza mechi tatu ili kutangazwa bingwa mpya wa Belgium na kwa ajili ya samata wanaeza enda UEFA CHAMPIONS LIEGE au Ueropa liege ambayo kwa stage alofika ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wa ligi yao tofauti

Baada ya kumaliza ligi,timu sita za juu zinacheza ligi ndogo,mshindi anapatikana baada ya kuchukua point alizokusanya kwenye ligi hii jumlisha na point za hiyo ligi ndogo.

Kwahiyo wana advantage ya kwamba kama watashinda game zao zote tano zilizobaki basi wataanza ligi ya pro wakiwa na tofauti ya point 9 na mtu wa pili.

Hizo team sita za juu wana cheza plays of ya kucheza UEFA CL ila ataemaliza juu anachukua ubingwa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samata anatakiwa aondoke kabisa Simba na Tanzania kama anataka kuendelea... Ajaribu kwenda nchi zinazoheshimika kwa kukuza vipaji kama belgium, France

Kwakweli he is a gem na movement zake kama ni darasani tungesema ni mtaalam wa physics ya kufa mtu

the boy is a superstar
Watabiri wa jf mpo vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20190209-150721.png
Screenshot_20190209-150657.png

Povu la Watanganyika katika insta page ya Genk..!
 
Mfumo wa ligi yao tofauti

Baada ya kumaliza ligi,timu sita za juu zinacheza ligi ndogo,mshindi anapatikana baada ya kuchukua point alizokusanya kwenye ligi hii jumlisha na point za hiyo ligi ndogo.

Kwahiyo wana advantage ya kwamba kama watashinda game zao zote tano zilizobaki basi wataanza ligi ya pro wakiwa na tofauti ya point 9 na mtu wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba nirekebishe kidogo hapo.

Kinachofanyika, points ulizopata kwenye ligi kubwa zinagawanywa kwa 2, kama ulipata say 64 points, unaingia kwenye ligi ya top 6 ukiwa na 32 points.
 
Back
Top Bottom