Mbwana Samatta

Pale TP pana pesa kama ulaya 2,mbona mputu alifaulu arsenal lakini pesa ikambakisha.
 
Alikusikia
 
Hao akina Samatta wapo wengi sana Bongo, na wapo wakali zaidi ya Samatta.
Walivyotokea akina Ngassa nao walisifiwa hivyo hivyo.
Dawa sio kumkimbiza Samatta nje ya nchi, tuanze kwanza kuijenga soka nzima ya Tanzania.
Huyu jamaa alikuwa anataka Samatta abaki Bongo, tulijenge kwanza soka letu halafu ndio tumruhusu. In 2011 the weed was really.
 
Leo katupia 2 tena ktk mechi kubwa na timu yake ikashinda 2bila
 
Mfumo wa ligi yao tofauti

Baada ya kumaliza ligi,timu sita za juu zinacheza ligi ndogo,mshindi anapatikana baada ya kuchukua point alizokusanya kwenye ligi hii jumlisha na point za hiyo ligi ndogo.

Kwahiyo wana advantage ya kwamba kama watashinda game zao zote tano zilizobaki basi wataanza ligi ya pro wakiwa na tofauti ya point 9 na mtu wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo team sita za juu wana cheza plays of ya kucheza UEFA CL ila ataemaliza juu anachukua ubingwa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watabiri wa jf mpo vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naomba nirekebishe kidogo hapo.

Kinachofanyika, points ulizopata kwenye ligi kubwa zinagawanywa kwa 2, kama ulipata say 64 points, unaingia kwenye ligi ya top 6 ukiwa na 32 points.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…