Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Lazima mkuuHata tukiwafunga we mkande mabao mengi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima mkuuHata tukiwafunga we mkande mabao mengi tu
Aaahahaa
Uko sahihiHuwa nawashangaa sana watani wa jadi Simba na Yanga, mara zote kabla ya mechi utashuhudia majigambo na mbwembwe nyingiii halafu tunafika uwanjani kwa wingi tunashuhidia mpira wa makaratasi!
Huuu ni ujinga na ushamba wa kizamani, wapenzi wa soka tunataka kuona ufundi wa kusakata kabumbu sio maneno, kila mshabiki anataka kuona improvements kwa timu yake sio kukamiana kijinga......tuache mambo ya kizamani chezeni mpira wa kifundi mashabiki wapate raha.
Kila la heri kwa mnyama.
Halafu wanacheza kwa kuogopana na lilia wakitafuta drawHuwa nawashangaa sana watani wa jadi Simba na Yanga, mara zote kabla ya mechi utashuhudia majigambo na mbwembwe nyingiii halafu tunafika uwanjani kwa wingi tunashuhidia mpira wa makaratasi!
Huuu ni ujinga na ushamba wa kizamani, wapenzi wa soka tunataka kuona ufundi wa kusakata kabumbu sio maneno, kila mshabiki anataka kuona improvements kwa timu yake sio kukamiana kijinga......tuache mambo ya kizamani chezeni mpira wa kifundi mashabiki wapate raha.
Kila la heri kwa mnyama.
Tayari nipo uwanjani, nimezongwa na mashabiki hapa lakini nmewaambia huo ndio ukweli.Halafu wanacheza kwa kuogopana na lilia wakitafuta draw
Subirieni kichapo Cha bao 3 , uhakika.matokeo mabaya kwa simba leo yasitukatishe tamaa mbio za club bingwa
Haya Tumelowa. Kapige hatrick mbili kulipiza kisasi.3+
Sitawaangusha [emoji16][emoji2]