Mbwembwe nyingiii! Uwanjani hamna kitu

Uko sahihi
 
Halafu wanacheza kwa kuogopana na lilia wakitafuta draw
 
Halafu wanacheza kwa kuogopana na lilia wakitafuta draw
Tayari nipo uwanjani, nimezongwa na mashabiki hapa lakini nmewaambia huo ndio ukweli.

Macho yetu tutashuhudia hivi punde

Karibuni uwanjani tuburudike na tufahamiane.

Zandrano
Kutokea uwanja wa mkapa/lupaso
 
Pongezi kwa Simba kwa kupachika bao 2 kipindi Cha kwanza.
Bado bao moja naomba mtulie tuliii tumalizie bao letu kipindi Cha pili
 
Mpira umechezwa vizuri sana, magoli yote ya Simba yamedhihirisha ukomavu wa timu ya Simba.
Ahsanteni kwa kutupa raha mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…