Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Dec 29, 2023 #1 Ona hawa ‘makomandoo’ wa jeshi la Senegal. Sipendi kuhukumu sana bila ya kuwa na taarifa za kutosha, ila kwa kutumia macho tu, naweza kusema hawa watu [wanajeshi wa Kiafrika] ni vilaza sana. Hawa wajeda wa Senegal kumbe hawana tofauti na hawa wakwetu wanaovunjaga matofali kwenye maonyesho ya sherehe mbalimbali za kitaifa. Kwa tulio werevu na wenye ufunuo, hakuna chochote kilicho ‘impressive’ hapo. Eti wanafanya kama wanajikata na visu halafu halafu ngozi zao hazichaniki wala nini. FOH with that bullshit. View: https://youtube.com/shorts/kSYrVP_FjbQ?si=MtzbaWYoqdclNjyP
Ona hawa ‘makomandoo’ wa jeshi la Senegal. Sipendi kuhukumu sana bila ya kuwa na taarifa za kutosha, ila kwa kutumia macho tu, naweza kusema hawa watu [wanajeshi wa Kiafrika] ni vilaza sana. Hawa wajeda wa Senegal kumbe hawana tofauti na hawa wakwetu wanaovunjaga matofali kwenye maonyesho ya sherehe mbalimbali za kitaifa. Kwa tulio werevu na wenye ufunuo, hakuna chochote kilicho ‘impressive’ hapo. Eti wanafanya kama wanajikata na visu halafu halafu ngozi zao hazichaniki wala nini. FOH with that bullshit. View: https://youtube.com/shorts/kSYrVP_FjbQ?si=MtzbaWYoqdclNjyP
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,575 Reaction score 25,619 Dec 29, 2023 #2 Hiyo inadhihirisha udhaifu na uoga walio nao ndo mana wanafanya maigizo.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Dec 29, 2023 Thread starter #3 Kitombise said: hiyo inadhihirisha udhaifu na uoga walio nao ndo mana wanafanya maigizo Click to expand... Wanatisha wananchi wao tu! Vitani hakunaga kupigana ngumi wala mateke.
Kitombise said: hiyo inadhihirisha udhaifu na uoga walio nao ndo mana wanafanya maigizo Click to expand... Wanatisha wananchi wao tu! Vitani hakunaga kupigana ngumi wala mateke.
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Dec 29, 2023 #4 Utasikia ni Jeshi la 4 kwa ubora duniani😅
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Dec 29, 2023 #5 Nyani Ngabu said: Visu feki hivyo nahisi…. Click to expand... Visu vya kukatia keki ya BESIDEI.
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Dec 29, 2023 #6 China wana Jeshi makini sana ila sijawah ona wakifanya usenge huo, ni show show mpaka unaona kweli hapa wanaume wameiva acha hawa wakwetu wanatutishia uchawi.
China wana Jeshi makini sana ila sijawah ona wakifanya usenge huo, ni show show mpaka unaona kweli hapa wanaume wameiva acha hawa wakwetu wanatutishia uchawi.
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,199 Reaction score 3,449 Dec 29, 2023 #7 Imeeeeenda
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 29, 2023 #8 Africa tuna vituko mno