sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Kuna siku kipindi cha EA Sports kinachorushwa na EATV, walimtembelea Mzee Akilimali nyumbani kwake.
Watangazaji walipofika wakakuta katika sitting room ya Mzee Akilimali kuna Sofa za rangi nyekundu, wakastaajabu, na mazungumzo yao yakawa hivi;
Mwandishi: Mzee Akilimali tunakujua na umejitanabaisha kuwa wewe ni mnazi mkubwa wa Yanga, kulikoni tena ndani kwako kuna sofa zenye rangi ya mpinzani wako?
Mzee Akilimali: Unajua ndugu mwandishi, Simba ni watani wangu.. hizi Sofa hazipo hapa kwa bahati mbaya.. nimeziweka kwa makusudi ili kila siku niwe nawakalia.
Maoni: Nadhani kuanzia jana hizo Sofa hazikaliki.. maana kila anapozikalia zinamchoma kimoja anaruka.. akirudi tena chini zinamuongezea kingine.