Maadam ina pointi tatu ni sawa tu.Ewe Mola wangu nakuomba wachezaji,viongozi na mashabiki wenzangu tusiwe na akili kama ya jirani kuona ligi nzima si bora ila mechi 1 ndiyo bora kwa akili zao hizi hawa majirani zetu mi naomba timu yangu siku zote shabaha yenu iwe ubingwa wa ligi muwafunge,mutoe droo au wawafunge muone ni sehemu ya mchezo na si vinginevyo. (kumbukeni huwa siogopi matusi,ukiuliza hoja nitajibu nikiwa na muda)