Mbwembwe za nini Bwana, kwani huwezi kufanya kimyakimya?

Mbwembwe za nini Bwana, kwani huwezi kufanya kimyakimya?

Heheheee kweli lakini!

Watu ndio zao. . .
Embu angalia thread zinazoletwaga humu. . .hamna hata mmoja anaeglorify mwenzie kuwa na nyumba ndogo.Utakuta mtu analia mwenzie alivyotafutaga nyumba ndogo mpaka mapenzi yote akahamishia huko alafu hapo hapo anasema kwa mbwembwe na yeye aliamua kutafuta yake.Au alitafuta yeye kwanza sasa kagundua mwenzie nae anae ndio anaomba msaada.
 
Umesema kweli kabisa. Nyumba ndogo ukiianzisha hamna tatizo. Mwenzako naye akianza unakuwa mkali mbogo

Ubinafsi wa binadamu huo. . . .watu wanajiona wao ni bora na wanastahili zaidi ya wenzao.
 
Mapenzi mapya yanakuwa matamu hadi mnaanza kuropoka. Na nyie si mtulie na wake zenu jamani.
 
Mijitu mingine ikipata nyumba ndogo huanza mbwembwe kwa wake zao na ndugu na jamaa pia.
Utakuta mtu anaondoka nyumbani alfajiri, unarudi saa tisa usiku, shati limejaa ma lipstic, unarudi na harufu ya pafyum ya kike, na mbaya zaidi ndani una bikini NYEKUNDU, mkeo akikuuliza unakuja juu kinyama.
Hivi ni lazima ukiwa na nyumba ndogo uupigie baragumu ulimwengu?

Hiyo ni laana na mtu ukifikia hali hiyo hata familia yako utakuwa hauijali tena
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom