Heheheee kweli lakini!
Umesema kweli kabisa. Nyumba ndogo ukiianzisha hamna tatizo. Mwenzako naye akianza unakuwa mkali mbogo
hisia ki2 kingine wakuu. Kunakujkataza na kuzkana zsikuzid ila...,....
Si lazima.
Mijitu mingine ikipata nyumba ndogo huanza mbwembwe kwa wake zao na ndugu na jamaa pia.
Utakuta mtu anaondoka nyumbani alfajiri, unarudi saa tisa usiku, shati limejaa ma lipstic, unarudi na harufu ya pafyum ya kike, na mbaya zaidi ndani una bikini NYEKUNDU, mkeo akikuuliza unakuja juu kinyama.
Hivi ni lazima ukiwa na nyumba ndogo uupigie baragumu ulimwengu?
Hiyo ni laana na mtu ukifikia hali hiyo hata familia yako utakuwa hauijali tena
Mapenzi mapya yanakuwa matamu hadi mnaanza kuropoka. Na nyie si mtulie na wake zenu jamani.
Mapenzi mapya yanakuwa matamu hadi mnaanza kuropoka. Na nyie si mtulie na wake zenu jamani.
Ukiwa mkubwa utajua kunasaidia nini, kuvunja ndoa unadhani jambo rahisi?
Nataka nikuoe halafu nitafute ka nyumba kadogo!Vp hapo?