Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa sisitulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lakini sijachaguliwa na badala yake wamechaguliwa watu wa vipaji maalumu na shule nyingine kubwakubwa.
Nimeangalia shule za kata nyingi hamna alochaguliwa pale japokuwa watu tupo tulotoka vizuri o level na div one nzuri lakini hatujaangaliwa kisa tupo shule za kata.
LIMENIUMA SANA HILI.
Nimeangalia shule za kata nyingi hamna alochaguliwa pale japokuwa watu tupo tulotoka vizuri o level na div one nzuri lakini hatujaangaliwa kisa tupo shule za kata.
LIMENIUMA SANA HILI.