Mbwembwe zote nimechaguliwa kwenda Azaboy

Mbwembwe zote nimechaguliwa kwenda Azaboy

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa sisitulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lakini sijachaguliwa na badala yake wamechaguliwa watu wa vipaji maalumu na shule nyingine kubwakubwa.

Nimeangalia shule za kata nyingi hamna alochaguliwa pale japokuwa watu tupo tulotoka vizuri o level na div one nzuri lakini hatujaangaliwa kisa tupo shule za kata.

LIMENIUMA SANA HILI.
 
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa cc tulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lkn cjachaguliwa na bdala yake wamechaguliwa watu wa vipaji maalumu na shule nyingine kubwakubwa.Nimeangalia shule za kata nyingi hamna alochaguliwa pale japokuwa Watu tupo tulotoka vizuri o level na div one nzur lkn hatujaangaliwa kisa tupo shule za kata.LIMENIUMA SANA HILI !!!

acha utoto...aliyekwambia shule ya kata ndiyo sababu ni nani?
 
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa cc tulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lkn cjachaguliwa na bdala yake wamechaguliwa watu wa vipaji maalumu na shule nyingine kubwakubwa.Nimeangalia shule za kata nyingi hamna alochaguliwa pale japokuwa Watu tupo tulotoka vizuri o level na div one nzur lkn hatujaangaliwa kisa tupo shule za kata.LIMENIUMA SANA HILI !!!

Nyie watoto mnafuata nn huku
 
kapige shule wewe azaboy utaipenda tu halafu pale dit utakuwa unapiga menyu usijal
 
Back
Top Bottom