Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa cc tulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lkn cjachaguliwa na bdala yake wamechaguliwa watu wa vipaji maalumu na shule nyingine kubwakubwa.Nimeangalia shule za kata nyingi hamna alochaguliwa pale japokuwa Watu tupo tulotoka vizuri o level na div one nzur lkn hatujaangaliwa kisa tupo shule za kata.LIMENIUMA SANA HILI !!!

mkuu nilivyokorogeka ndo inanifanya nfikirie hvyoacha utoto...aliyekwambia shule ya kata ndiyo sababu ni nani?
ana bhti sana huyoKuna mshkaj kaenda MIST kamalza skul ya kata mbona?
hlf mi nasemea dit mkuuKuna mshkaj kaenda MIST kamalza skul ya kata mbona?
wap? azajangwa auNyie watoto mnafuata nn huku
lkn mkuu sbbu itakuwa nnacha utoto...aliyekwambia shule ya kata ndiyo sababu ni nani?
wap? azajangwa au
Kumbe kuna form 4 humu?
mi shule za kata nimeona wamepangiwa must,atc,wdmi lkn cjaona wa hapo dithzo huwa n bahat kjana mbona weng wameenda toka shule za kata tena hapohapo dit
dah we jamaa!kapige shule wewe azaboy utaipenda tu halafu pale dit utakuwa unapiga menyu usijal
mi nlianza biomedical eq engUlianza kozi ipi? mbona kuna dogo ana III kapangwa DIT ELE
we wa wap kwn?Mnatafuta nn JF