johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.
Maendeleo hayana vyama!