Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

Hill LA kwao, cha msingi wamepewa fomu Na mtendaji hajakimbia ofisi...
 
[emoji3][emoji3][emoji3]no koment
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.

Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.

Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani akiwa mtoto wa katibu wa CCM hana maamuzi yake? we vipi? Arusha kata ya sakina mtaa wa melamari mwaka 2014 mama yuko ccm na kijana yuko chadema wote wakagombea uenyekiti mama akapigwa chini, Unadhani kila aishie kwao hana maamuzi? Au hana kipato? Hayo ni mawazo ya sie makabwela ambao tunakimbia nyumbani kwa sababu nyumba ndogo wazee wanakosa faragha zao mkuu.
Mkuu umeongea kwa hasira sana
 
Hahahaaa..... Wagombea wa Chadema bhana!

Nina hakika mgombea wetu atapita bila kupingwa.....usiniulize kivipi!
Wala sibishi atapita kwa sababu tume na polisi mnamiliki nyie CCM badala ya kumilikiwa na serikali, ..bila msaada wa watendaji, polisi, na tume fake ccm msingekuwa na mshindi kabisa kwenye chaguzi zote.
 
Back
Top Bottom