LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Hill LA kwao, cha msingi wamepewa fomu Na mtendaji hajakimbia ofisi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa....... baadae mtaanza kulialia oooh tumeibiwa kura.Tundolee upumbavu wako hapa
Fomu kaletewa nyumbani twasubiri arudishe tayari kwa 24/11!Hill LA kwao, cha msingi wamepewa fomu Na mtendaji hajakimbia ofisi...
Mtasema yote safari hii.....sisi tunapiga kazi tu!CCM kumejaa mataahira! Ona eti hii nayo ni hoja? Ama kweli, nantombe nokho nashik'aha?
Hivi lini ulihama pale kwa dada yako?Hahahaaa....... baadae mtaanza kulialia oooh tumeibiwa kura.
Huyu kula kulala fomu yake isipopokelewa sitashangaa!
Hahahaaa......bado niko pale pale ndio maana sigombei!Hivi lini ulihama pale kwa dada yako?
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.
Maendeleo hayana vyama!
Zaidi ya miaka 18 na hausomi ni kosa la kijamii.Kwani kuna kosa kula kwenu
mkuu chama kama mpira tu kila mtu ana falsafa yake anayoamini
mm hapa wazee wangu ni pure ccm but sijawahi kukipenda kile chama
Mkuu umeongea kwa hasira sanaKwani akiwa mtoto wa katibu wa CCM hana maamuzi yake? we vipi? Arusha kata ya sakina mtaa wa melamari mwaka 2014 mama yuko ccm na kijana yuko chadema wote wakagombea uenyekiti mama akapigwa chini, Unadhani kila aishie kwao hana maamuzi? Au hana kipato? Hayo ni mawazo ya sie makabwela ambao tunakimbia nyumbani kwa sababu nyumba ndogo wazee wanakosa faragha zao mkuu.
Wala sibishi atapita kwa sababu tume na polisi mnamiliki nyie CCM badala ya kumilikiwa na serikali, ..bila msaada wa watendaji, polisi, na tume fake ccm msingekuwa na mshindi kabisa kwenye chaguzi zote.Hahahaaa..... Wagombea wa Chadema bhana!
Nina hakika mgombea wetu atapita bila kupingwa.....usiniulize kivipi!