johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema ni mfu jijini Salama hivyo wamebaki kutapatapaWakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.
Maendeleo hayana vyama!
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine Chadema huwa wanaamua wenyewe washindwe halafu wanalalamika wameibiwa kura.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa hapo unaibaje kura kwa mfano?Suala la kuibiwa kura hilo halina mjadala, hata kama wamemuweka huyo kula kulala lakini haimaanishi kuwa hawaibiwi kura.
Hahahaaa...... siasa ina mambo mengi!Kwani kuna kosa kula kwenu
Sasa hapo unaibaje kura kwa mfano?
Hahahaaa..... Wagombea wa Chadema bhana!Kwani akiwa mtoto wa katibu wa CCM hana maamuzi yake? we vipi? Arusha kata ya sakina mtaa wa melamari mwaka 2014 mama yuko ccm na kijana yuko chadema wote wakagombea uenyekiti mama akapigwa chini, Unadhani kila aishie kwao hana maamuzi? Au hana kipato? Hayo ni mawazo ya sie makabwela ambao tunakimbia nyumbani kwa sababu nyumba ndogo wazee wanakosa faragha zao mkuu.
Ndio utajua 24/11Kumbe wamemsimamisha mtoto wa katibu wa ccm? mimi nilizani wamemsimamisha katibu wa ccm
CCM NIELE ILE WAJINGA NI WALE WALEHahahaaa..... Wagombea wa Chadema bhana!
Nina hakika mgombea wetu atapita bila kupingwa.....usiniulize kivipi!
Hilo mimi siliamini kabisa...... Chadema hawana network!Narudia tena, hilo suala la kumuweka huyo kula kulala usilitumie kama sehemu ya Utetezi wa cdm kuibiwa kura. Hayo ni mambo mawili tofauti. Cdm wanaibiwa kura na chini ya awamu hii sio kuibiwa tu, bali wanaporwa na kutotangazwa kimachomacho.
Msalimie mwenyeti wa chama taifaNdio utajua 24/11
Anasubiri ushindi wa kisulisuli wa 99.9%Msalimie mwenyeti wa chama taifa
Hilo mimi siliamini kabisa...... Chadema hawana network!
Lazia muupate kama ndio ile kauli yake ya hakuna kutangaza mpinzaniAnasubiri ushindi wa kisulisuli wa 99.9%