Kunako pale EFM radio ndani ya kipindi cha sport HQ kunae huyu mtalaamu wa kuitwa dr machachali kabisa, dr panjua wa panjuaniiiii na kunako kule clouds fm the people station, kunae mtalaamu huyu anaitwa mbwiga mbweguke mkora wanyani kiboya mkia.
Wawili wote hawa ni kama wanaelekeana kazi zao ndani ya vipindi husika vya michezo, kuna burudani flani hivi wanaitoaa.
Kwa mtazamo wako nani mkali nani anaburudisha zaidi na kuleta ladha ya kutosha kusikiliza kipindi husika. Thiridi imeisha nawasilishaa[emoji2] [emoji1]