Mbwiga mbweguke vs Dr Panju ya Panjuani

Mbwiga mbweguke vs Dr Panju ya Panjuani

Victor Bravo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
265
Reaction score
241
Kunako pale EFM radio ndani ya kipindi cha sport HQ kunae huyu mtalaamu wa kuitwa dr machachali kabisa, dr panjua wa panjuaniiiii na kunako kule clouds fm the people station, kunae mtalaamu huyu anaitwa mbwiga mbweguke mkora wanyani kiboya mkia.

Wawili wote hawa ni kama wanaelekeana kazi zao ndani ya vipindi husika vya michezo, kuna burudani flani hivi wanaitoaa.

Kwa mtazamo wako nani mkali nani anaburudisha zaidi na kuleta ladha ya kutosha kusikiliza kipindi husika. Thiridi imeisha nawasilishaa[emoji2] [emoji1]
 
Hao huwa kama cartoon kwenye michezo

Kuchangamsha km kipindi kimepooza
Aliyebuni anastahili pongezi

NB mi ni mlevi wa vipindi vya michezo
 
Back
Top Bottom