GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,685 Reaction score 128,178 May 25, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Eti unataka (mnapenda) muziki wa kufokafoka nyie mmekuwa Mbwa? Angalia sasa hii cheza yake ni ya Kihuni / Kisela sana. Hapa ni Mtu mzima yuko hivi sijui alivyokuwa Kijana alikuwaje.
Your browser is not able to display this video. Eti unataka (mnapenda) muziki wa kufokafoka nyie mmekuwa Mbwa? Angalia sasa hii cheza yake ni ya Kihuni / Kisela sana. Hapa ni Mtu mzima yuko hivi sijui alivyokuwa Kijana alikuwaje.
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 May 25, 2026 #2 secretarybird
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 May 25, 2026 #3 Monetary doctor said: secretarybird Click to expand... Mbwiga Mbwiguke, alipokuwa pale Clouds (kwenye Sports extra)alikuwa anatoa story za uwongo uwongo kuhusu wachezaji na vilabu vya zamani hapa nchini. Ila story zake zilikuwa zinawavunja watu mbavu.
Monetary doctor said: secretarybird Click to expand... Mbwiga Mbwiguke, alipokuwa pale Clouds (kwenye Sports extra)alikuwa anatoa story za uwongo uwongo kuhusu wachezaji na vilabu vya zamani hapa nchini. Ila story zake zilikuwa zinawavunja watu mbavu.