Mbwiga wa clouds FM hajui kusoma

Seriously?? Mzoa makopo mstaafu wa chamazi unamzimikia? What so special about him? Bila shaka we ni mndengereko,------ na ushuzi wa aina hiyo cc Matola

Kwani mbwiga si mzaramo hata kama anatoka kisiju undengerekoni kwa ni tatizo lipi
 
Last edited by a moderator:
Kwani kilichompeleka clouds ni kusoma au kipaji chake cha misemo ya Kiswahili cha pwani?
 
Yote maisha tu,kinachotakiwa ni kupata kwa njia za kihalali,mbona maprofesa kibao bongo wameishia kuwa mafisadi?
 
Kwaio na wewe unajikuta 50 cent kumjaribu floyd money mayweather?
 
Seriously?? Mzoa makopo mstaafu wa chamazi unamzimikia? What so special about him? Bila shaka we ni mndengereko,------ na ushuzi wa aina hiyo cc Matola

So wazoa makopo kwako wewe ni wapumbavu?..wewe huzoi makopo ila una mtazamo wa kipumbavu kuliko huyo mbwiga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…