MBWIGA88 na kamisheni ya vyuo vikuu

chatts55

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
600
Reaction score
97
Nashawishika kuamini kuna watu ni mahackers wa kiwango cha hali ya juu.Mbwiga88 kadhihirisha hilo.Tanzania nzima sasa hivi wanajua habari ya TCU,Tanzania nzima sasa hivi wanajua huduma hii *150*44# hii yote ni sababu ya Mbwiga88, tcu wamebaki midomo wazi ns kanifanya na mm nijue baadhi wanakwenda wapi.
Aisee,Mbwiga wewe!!
 
Mim sijamkubali sanaaaaaaa,sababu akuna chochote,wanatuchanganya tuuuuuuuuuuuuuuu!
 

Unafaham maana ya hacker?
 
Tusiomjua Mbwinga hapa hata hatuelewi. Kafanya nini huko TCU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…