chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
Nashawishika kuamini kuna watu ni mahackers wa kiwango cha hali ya juu.Mbwiga88 kadhihirisha hilo.Tanzania nzima sasa hivi wanajua habari ya TCU,Tanzania nzima sasa hivi wanajua huduma hii *150*44# hii yote ni sababu ya Mbwiga88, tcu wamebaki midomo wazi ns kanifanya na mm nijue baadhi wanakwenda wapi.
Aisee,Mbwiga wewe!!
Aisee,Mbwiga wewe!!