Mbwiga88 uko wapi?,umetisha mbaba comment hapa kamanda wangu

Mbwiga88 uko wapi?,umetisha mbaba comment hapa kamanda wangu

Joined
Aug 1, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Kijana mbwiga anatisha ndo wa kwanza kutoa news humu ndani!!,nimekukubali weh.mbaya wao,,ila thnx god niko udsm
 
Si mlikuwa mnamzingua kuwa sio boss pale TCU amewaumbua leo.
 
Oya we dogo steven,nigei number yako 2ongee mchongo flan hvi.
 
Tcu bado uozo mtupu....kama wanajua hajajipanga ni ya nini kukurupuka kumwaga mizigo ambayo haijajitosheleza....cha msingi wangetupia mizigo kwenye official web yao,wange-update student profiles zetu then wangemalizia na mitandao ya sim
 
Mim bdom mazee,nateseka,tuuuuuuuu,tcu bwanaaa,ndio nin hichooo?mbona wanatuboa sanaaaaaaa,du!mungu tusaidie,masikini cc!
 
Back
Top Bottom