MC Aitoroka Harusi Msasani!

MC Aitoroka Harusi Msasani!

Jamani naomba msamaha mimi ndo mc mwenyewe sikuwa arusha wala nini.ila nilihamia chooni baada ya kushikwa natumbo la kuharisha.ukweli sherehe ilikua nzuri.chanzo kabisa ni nyama na pilau.
 
Back
Top Bottom