Jamani mm chitanda ni ndugu yangu kabisa wa damu.....nafikiri haya yooooote mliyo yaandika hapa kuhusu yeye nitamjulisha kwa hiyo ninafikiri atajirekebisha. Vilevile nitamhimiza atembelee jukwaa hili ili asome mwenyewe na kujua dukuduku za wateja wake. Zaidi ya yote msameheni bure.