byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,059
- 946
Toka unyang'anywe mke na Mwinjaku imekuwa vilio visuvyokuwa na kikomo huko insta, wewe ni mwanaume usililie mwanamke hizo zama zimeshapitwa na wakati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee ivi mapicha picha anayoandika kule IG ,niyakweli ??au huwa anavuta Attention ?? .maana mwanamme hawezi kufanya izo mamboToka unyang'anywe mke na Mwinjaku imekuwa vilio visuvyokuwa na kikomo huko insta, wewe ni mwanaume usililie mwanamke hizo zama zimeshapitwa na wakati.
mafala hao wanatafuta kiki kwa tamthilia yao mpya.hakuna mke wala cha mke....bongo hawaendi bila stunt.Toka unyang'anywe mke na Mwinjaku imekuwa vilio visuvyokuwa na kikomo huko insta, wewe ni mwanaume usililie mwanamke hizo zama zimeshapitwa na wakati.
Hivi Mnatufanya sie wana JF mazwazwa na KIKI zenu za KIBASHITE?Toka unyang'anywe mke na Mwinjaku imekuwa vilio visuvyokuwa na kikomo huko insta, wewe ni mwanaume usililie mwanamke hizo zama zimeshapitwa na wakati.