Uchaguzi 2020 MC PiliPili ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Bahi kupitia CCM

Uchaguzi 2020 MC PiliPili ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Bahi kupitia CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Emmanuel Mathias (MC PiliPili) naye ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge BAHI kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

Subpost 2 - Mshereheshaji_Mchekeshaji Emmanuel Mathias maarufu kama [USER=268773]mcpilipili[/USER]  ( 750 X 750 ).jpg
 
Yani inavyoonekana kuupata ubunge ni kitu rahisi rahisi sana eti eeeh?!
 
Hiyo ndio njia ya kuelekea kwenye U DC, DAS, KURUGENZI, RC, RAS...

So siwacheki.. Wanajiweka kwenye wishlist.
 
Back
Top Bottom