Acha watunishe mfuko wa CCM.
Sipati picha hao wotw wafanikiwe huo ubunge huko full ukilaza.
Hiyo imepitwa na wakati. Ilikuwa wakati ule siamini kama mwaka ujao itakuwa kama wakati uleHiyo ndio njia ya kuelekea kwenye U DC, DAS, KURUGENZI, RC, RAS...
So siwacheki.. Wanajiweka kwenye wishlist.
Hivi huyu huwa anachekesha nini na anawachekesha wakina nani labda?
Kiwewe ndo nani ?Nasikia na Kiwewe naye anataka kuchukua form pale Iringa kupitia ccm
Yes ndo mimi. Kwani kuna tatizo ?Au ndo wewee Nini??[emoji16][emoji16]
Hakuna tatizo bibiYes ndo mimi. Kwani kuna tatizo ?
Kiwewe ndo nani ?
Simfahamu.Yule comedian
Simfahamu.
Ahahaaahh waache wajimwageInaonekana vijana wengi Tanzania hawana kazi ya kufanya na wana tamaa ya maisha ya haraka, Serikali jitahidini muwekeze kwenye hii nguvu kazi ya vijana ikafanye kazi iache kuwaza ubwanyenye..kila kijana anataka nyadhifa ya kisiasa sasa...inasikitisha sana dah...