MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.



Chanzo: Clouds Media
 
Get well soon MC Pilipili.

I hope it is not "watu wasiojulikana".
 
ndo alipost video wakat anamuombea lisu akiwa singida...duh pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…