MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.

View attachment 586898

Chanzo: Clouds Media

Mungu awape nafuu ya haraka warudi kwenye shughuli zao
 
Ila lile prado lake stability mbovu sana ukilichezesha kidogo tu linakutupa sijui kwanini alikua analikimbiza
Halafu huwa ni bovu ilo gari lake na dereva wake ni check bob flani hivi ujana mwingi
 
Hizo prado ni mbaya sana na huwa zinaleta ajali sana, ajitahidi anunue prado macho ya panzi 80mil ye ni mtu mkubwa c vizuri kutembelea gari bovu.

All in all Mungu akuponye haraka
 
Kwa undani wa ajali ya Mc Pilipili na kuhusu hali yake inavyoendelea, pakua mobile app yake "Mc Pilipili"
inayopatikana Play Store kwa kubofya link hii hapa: Mc Pilipili – Програми Android у Google Play au bofya HAPA

Pia kupitia app ya Mc Pilipili utapata kufahamu kuhusu maisha yake na kazi zake kwa ujumla, download now​
mc-pilipili-360-ad-jpg.587325

HatutaKII...
 
Kwani alisema nini huko jamani, tujuzeni wengine hata hatujui ati!
Hahaahaa....

Huyu Jamaa si MC...

Huwa anawachana sana wanaume wenye ujuzi wa VETA kwenye shuguli zake..
Yani wanawake hawapaswi olewa na watu wa VETA.....ye anawachukulia wa chini dizain..

Sasa huko VETA wanamsubiri na hilo Prado
.
 
Back
Top Bottom