Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.
View attachment 586898
Chanzo: Clouds Media
Halafu huwa ni bovu ilo gari lake na dereva wake ni check bob flani hivi ujana mwingiIla lile prado lake stability mbovu sana ukilichezesha kidogo tu linakutupa sijui kwanini alikua analikimbiza
Wewe si wa kwanza kusema hayo nimesikia maoni ya wengine wanasema hii gari sio nzuriIla lile prado lake stability mbovu sana ukilichezesha kidogo tu linakutupa sijui kwanini alikua analikimbiza
Ulishawahi kulipanda eeh!!Ila lile prado lake stability mbovu sana ukilichezesha kidogo tu linakutupa sijui kwanini alikua analikimbiza
Bugando
Dah kumbe jamaa kaisha kuwa mkubwa hivyoHizo prado ni mbaya sana na huwa zinaleta ajali sana, ajitahidi anunue prado macho ya panzi 80mil ye ni mtu mkubwa c vizuri kutembelea gari bovu.
All in all Mungu akuponye haraka
Hahahahaa.... Watu nomaMara paap... mtu wa VETA ndio anatengeneza gari yake.. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
HatutaKII...Kwa undani wa ajali ya Mc Pilipili na kuhusu hali yake inavyoendelea, pakua mobile app yake "Mc Pilipili"
inayopatikana Play Store kwa kubofya link hii hapa: Mc Pilipili – Програми Android у Google Play au bofya HAPA
Pia kupitia app ya Mc Pilipili utapata kufahamu kuhusu maisha yake na kazi zake kwa ujumla, download now![]()
Prado sio sijui kwanini watu hawamshauri,kutwa nzima jamaa anachana mbuga na hizo instability car!mara mia hata gx 100 kuliko pradoKuna watu wana moyo duh..... Hilo Prado la zamani bado kuna watu wanafanya nayo safari ndefu???
Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen
Hizi gari ni mbovu kwa mtu mwenye akili huwezi fanya nayo safari ndefu labla uwe speed ya 40....
Kwani alisema nini huko jamani, tujuzeni wengine hata hatujui ati!Mara paap... mtu wa VETA ndio anatengeneza gari yake.. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaahaa....Kwani alisema nini huko jamani, tujuzeni wengine hata hatujui ati!