MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5

Pilipili pia ameongeza kuwa yeye ameokoka hivyo hadi Sasa tangu aanze mahusiano na binti huyo hajawahi kufanya nae mapenzi japo huwa anaenda kwake kumsaidia kupika na shughuli za nyumbani.

Screenshot_20190107-150245~2.jpeg
Screenshot_20190107-151152~2.jpeg
Screenshot_20190107-150306~2.jpeg
Inst-image-6.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongera zake.
 
Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
All in all hongera zake.
Mkuu mbunye imemteka kijana kakolea anachukua jumla jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom