MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

Duuh mbunye ilishatumika na bado mahari milioni 8? Aiseee wazazi wamepata bahati.. Hapo bado hajajua km yaliyomo yamo, ni hapo atapoenda kukutana na Mtera, abaki kuwa mhenga asieishiwa msemo.. # mtoto wa kike hazina ndogo
 
Wa Dar wapi mtu katoka Dodoma huyo. Bado hajaacha ushamba wa kigogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nakereka sana hawa mafala wanatoka kwao huko wanakuja fanya ujinga mjini inaonekana wanaume wa dar ndio wamefanya ukifatili kwa makini wengi wakuja ila vijamaa vya millkoani vinalazimisha waonekane wa dar ss huyo pilipili c kaja juzi tu hp hata idi 3 hajafikisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mmeshindwa kabisa kumfundisha jinsi ya kudili na hao viumbe...hadi anakua kituko mjini...
Mi nakereka sana hawa mafala wanatoka kwao huko wanakuja fanya ujinga mjini inaonekana wanaume wa dar ndio wamefanya ukifatili kwa makini wengi wakuja ila vijamaa vya millkoani vinalazimisha waonekane wa dar ss huyo pilipili c kaja juzi tu hp hata idi 3 hajafikisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wa bongo movie, waimbaji wa injili, wachekeshaji na waaigizani lao ni moja.. kupata wasichana wazuri na na baadae kuachana nao kwa sababu huwataka kwa sababu za kibiashara na sio kimaisha ya ndoa.

Usione aliambiwa asipo lia havalishwi mtu pete.. just joking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mmeshindwa kabisa kumfundisha jinsi ya kudili na hao viumbe...hadi anakua kituko mjini...
Ndg yng haya makoro yakishaingia mjini yanashaurika bc? kila kitu yanajitia ujuaji c twawatazama tu tatzo lao hawataki chochote toka kwetu wazawa wamekalia bifu tu km wana kinyongo flan hv na sisi mioyoni mwao daily wao kutukashifu tu tunawatazama tunacheka tu ss mtu sio bikra unatoaje milioni 8 na kula hujala km si ukoro ni nn? nawakumbusha tu huyu ni ndg yenu wa Dodoma huko si hatumjui msitupakazie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20190107_133229.jpg
 
Napenda vile huyu binti yupo WELL COMPOSED!
is like anajionea dah! Mshikaji mbona kama UMEONA UMEOKOTA LULU WAKATI KITU CHA KAWAIDA TU HIKI!
Ila mi namwelewa pilipili, ZILE SKANDAL ZAKE NA YULE MWENZIE WALIKUWA WANAVAA VIKAPTURA VYA PINK NA VYA NJANO SAUZI! nao si wa kupuuzwa!

WAZEE WA CODES
naomba tukutane pale kwenye tent la kijani, kuna kikao cha dharura!
cute b Evelyn Salt
 
[QUOTE="Affet, post: 29931724, member: 494137" nawakumbusha tu huyu ni ndg yenu wa Dodoma huko si hatumjui msitupakazie[/QUOTE]🤣🤣🤣🤣
 
Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5 , Pilipili pia ameongeza kuwa yeye ameokoka hivyo Hadi Sasa tangu aanze mahusiano na binti huyo hajawahi kufanya nae mapenzi japo huwa anaenda kwake kumsaidia kupika na shughuli za nyumbani.
View attachment 988628View attachment 988629View attachment 988630View attachment 988631

Sent using Jamii Forums mobile app
Aache kiki za kipumbavu hakuna anayeuza binti yake usije kukuta hajatoa hata sh 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom