Mkuu mbunye imemteka kijana kakolea anachukua jumla jumlaMilioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
All in all hongera zake.
Katoa kweli maana hiyo akifanya uMC wa harusi 4 tu tayari kafikisha hiyo pesa
Sema demu mkali siku akigongewa anaweza kuniua kwa gharama na mbwembwe hizi anazotamba nazo
Mkuu nakubali inawezekana tena labda katoa zaidi ya hiyo Ila kapunguzaKatoa kweli maana hiyo akifanya uMC wa harusi 4 tu tayari kafikisha hiyo pesa
Jamaa sio mchovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
All in all hongera zake.
[emoji3][emoji3][emoji3]kweli mkuu Mana jamaa inaonekana kakolea kapumbazika kabisaMkuu nakubali inawezekana tena labda katoa zaidi ya hiyo Ila kapunguza
Sent using Jamii Forums mobile app