Hahah habari zipogo tu, c unajua mjini unanyimwa kula tu ila maneno ni bure kuanzia ikulu mpaka uraiani.NAONA KIJANA JNC GANI ULIVYO MPANA KAMA PENSI LA MAREHEMU BI KIDUDE[emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahNdg yng haya makoro yakishaingia mjini yanashaurika bc? kila kitu yanajitia ujuaji c twawatazama tu tatzo lao hawataki chochote toka kwetu wazawa wamekalia bifu tu km wana kinyongo flan hv na sisi mioyoni mwao daily wao kutukashifu tu tunawatazama tunacheka tu ss mtu sio bikra unatoaje milioni 8 na kula hujala km si ukoro ni nn? nawakumbusha tu huyu ni ndg yenu wa Dodoma huko si hatumjui msitupakazie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongerHAHAHAHA...... ukuni