othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mc pilipili mbuzi, ni bikra? Na huyo demu wake bikra?Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5
Pilipili pia ameongeza kuwa yeye ameokoka hivyo hadi Sasa tangu aanze mahusiano na binti huyo hajawahi kufanya nae mapenzi japo huwa anaenda kwake kumsaidia kupika na shughuli za nyumbani.
View attachment 988628View attachment 988629View attachment 988630View attachment 988631
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahMili 8 hii nnayoijua ama ni masifuri mbele??
huku kitaa msela kaoa kwa wali chainizi!
Napenda vile huyu binti yupo WELL COMPOSED!
is like anajionea dah! Mshikaji mbona kama UMEONA UMEOKOTA LULU WAKATI KITU CHA KAWAIDA TU HIKI!
Ila mi namwelewa pilipili, ZILE SKANDAL ZAKE NA YULE MWENZIE WALIKUWA WANAVAA VIKAPTURA VYA PINK NA VYA NJANO SAUZI! nao si wa kupuuzwa!
WAZEE WA CODES
naomba tukutane pale kwenye tent la kijani, kuna kikao cha dharura!
cute b Evelyn Salt
Af unakuta ni single maza hapoSema videmu kama hivi vipo vingi sana kimoja kinasema hadi niksjitambulidhe ndo kitoe penzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbunye tu, watu washafukunyua uwani tayariUmejuaje Kama mbunye yake ishatumika?
Hapana nilitaka tu busara zako. Kule umemtetea sana lakini kwa yanayoendelea atakuangusha. Mpaka sasa tushajua mahari aliyoambiwa atoe, tushajua huyu mdada alikuwa na mtu wake na kafuata pesa kwa Pilipili. Yote Haya hata wiki haijaisha. Ila kubwa nilitaka nione unasemaje kuhusu public stunt anayopata huyu Dada toka kwa mume mtarajiwa wake
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hataniangusha Pilipili, Mdada ndie atamuangusha and God forbid we should expect more tears kama hana mapenzi ya dhati na yeye.
But you know what it is so, Karma will have to intervene for Pilipili.
All we can do right now is hope that it is all genuine.
Mtu pekee anaweza kutoa dhamani halisi wa uyo binti Ni mpenzi wake MC Pilipili na sio mtu mwingineDoes she really worth that amount of money..?
Noma sanaHuyu jamaa ni limbukeni na haamini kama kampata japo ni chombo kweli ila hatakiwi kujidhalilisha namna hiyo na kuonekana kutokuwa na ujasiri
Kweli jamaa mpuuzi kweli....Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongera zake.
Sio mbunye tu.... unaweza kuta hata rinda lilishakatwa....siku nyingiDuuh mbunye ilishatumika na bado mahari milioni 8? Aiseee wazazi wamepata bahati.. Hapo bado hajajua km yaliyomo yamo, ni hapo atapoenda kukutana na Mtera, abaki kuwa mhenga asieishiwa msemo.. # mtoto wa kike hazina ndogo
Inaonekana wazi dem mwenyewe akili hanaMaisha ya maigizo ni mateso, ndoa kama hizi huwa zinapita kwenye changamoto kila wakati maana inaonekana hata demu nae ni mtu wa showtime.