Wa Dar wapi mtu katoka Dodoma huyo. Bado hajaacha ushamba wa kigogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajawahi kumgusa na demu hana bikira?
Huu ujinga unapatikana kwa wanaume wa Dar tu.
Mi nakereka sana hawa mafala wanatoka kwao huko wanakuja fanya ujinga mjini inaonekana wanaume wa dar ndio wamefanya ukifatili kwa makini wengi wakuja ila vijamaa vya millkoani vinalazimisha waonekane wa dar ss huyo pilipili c kaja juzi tu hp hata idi 3 hajafikisha!Wa Dar wapi mtu katoka Dodoma huyo. Bado hajaacha ushamba wa kigogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nakereka sana hawa mafala wanatoka kwao huko wanakuja fanya ujinga mjini inaonekana wanaume wa dar ndio wamefanya ukifatili kwa makini wengi wakuja ila vijamaa vya millkoani vinalazimisha waonekane wa dar ss huyo pilipili c kaja juzi tu hp hata idi 3 hajafikisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg yng haya makoro yakishaingia mjini yanashaurika bc? kila kitu yanajitia ujuaji c twawatazama tu tatzo lao hawataki chochote toka kwetu wazawa wamekalia bifu tu km wana kinyongo flan hv na sisi mioyoni mwao daily wao kutukashifu tu tunawatazama tunacheka tu ss mtu sio bikra unatoaje milioni 8 na kula hujala km si ukoro ni nn? nawakumbusha tu huyu ni ndg yenu wa Dodoma huko si hatumjui msitupakazie![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mmeshindwa kabisa kumfundisha jinsi ya kudili na hao viumbe...hadi anakua kituko mjini...
Halafu eti uwe hujaonja tamu yake unasubiri ndoa. Shubaamitmtoto anaupaja mtamu.
Aache kiki za kipumbavu hakuna anayeuza binti yake usije kukuta hajatoa hata sh 10Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5 , Pilipili pia ameongeza kuwa yeye ameokoka hivyo Hadi Sasa tangu aanze mahusiano na binti huyo hajawahi kufanya nae mapenzi japo huwa anaenda kwake kumsaidia kupika na shughuli za nyumbani.
View attachment 988628View attachment 988629View attachment 988630View attachment 988631
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siku anamkuta anazo 2!Halafu eti uwe hujaonja tamu yake unasubiri ndoa. Shubaamit
Umeanza kupiga ramli mapema hiviHii sijuwi kama itatimia. Au kama itadumu.
Naona kama kuna maigizo fulani hivi.
Hamisa nae mbwe mbwe zote zile karudi kuomba alipiwe kodi na diamondMaisha ya hao wanaojiita maceleb huwa nabaki nacheka tu, yaani kuigiza kwingi, wenye pesa wametulia hata hawana maneno.