MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

Asee hii ni sawa na kununua kifaa cha elektoniks kwa machinga amabae hatoi risiti na hana ofisi maalumu tena bila hata ya kutest duuu namuonea sana huruma wenzie siku hizi huwa tunapima kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh mbunye ilishatumika na bado mahari milioni 8? Aiseee wazazi wamepata bahati.. Hapo bado hajajua km yaliyomo yamo, ni hapo atapoenda kukutana na Mtera, abaki kuwa mhenga asieishiwa msemo.. # mtoto wa kike hazina ndogo
Hivi inawezekana ikawa kweli kwamba jamaa hajaonja papuchi? Hamuoni kwamba alitania tu kusema vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…