MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

Sikuwa nimepita hapa rafiki.

So mnataka kusema lile chozi ni kuwaza hela yake?
Hapana nilitaka tu busara zako. Kule umemtetea sana lakini kwa yanayoendelea atakuangusha. Mpaka sasa tushajua mahari aliyoambiwa atoe, tushajua huyu mdada alikuwa na mtu wake na kafuata pesa kwa Pilipili. Yote Haya hata wiki haijaisha. Ila kubwa nilitaka nione unasemaje kuhusu public stunt anayopata huyu Dada toka kwa mume mtarajiwa wake

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hajawahi kumgusa, demu hana bikira na mali milioni 8?

Huu ujinga unapatikana kwa wanaume wa Dar tu.
Huyu sio mwanaume wa Dar, ni wa mkoani huko ndo maana anafanya vitu vya ajabu angekua mwanaume wa Dar huyo manzi ndo angempa hizo hela jamaa aje atoe mahari...jamaa ni mshamba sijawahi kuona
 
Na wataendelea kumrarua, maana inaonekana mwanaume ndio hajielewi kwa mwanamke.!
Kabisa mkuu,na sasa wataongezeka na watu maarufu kuliko huyu MC.

Wanawake wana tatizo moja,baada ya MC kuonyesha kutojielewa huyu mwanamke ataanza kujihoji maswali kama, kumbe mimi simstahili huyu eeh,kumbe mimi ni mzuri zaidi. Hapo ndo ataanza kuraruliwa na madon wa mjini huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…