Kama kuna kaukweli hivi kwa 70%???UPIMBI mtupu,,,,,,,yaani utoe 8 milions msichana hata BIKIRA HANA?,,,itakuwa YEYE HUYO NDY KALAZIMISHA NDOA,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga mtupu na ni kama awali walivyomchambua kuwa ni Mwanaume asiye na kifua cha kuficha siri.Binafsi sidhani kama kuweka thamani ya mchumba wako hadharani ni sahihi achilia mbali kuweka hadharani mambo yenu ya ndani
It is not a must everyone to know everything about you
Sent from my iPhone using JamiiForums
No!! Sio wanaume wa dar Ni wanaume Dodoma ndo wana Fanya ujinga uwoHajawahi kumgusa, demu hana bikira na mali milioni 8?
Huu ujinga unapatikana kwa wanaume wa Dar tu.
Njoo ww usimame na mm ili tupendeze kabisa, lkn ole wako Khantwe akukute!Analazimisha anatumia nguvu nyingi kwa huyo binti
Na wambea tumeambiwa binti kafata hela hapo kaachana na aliekua anampenda. Yani binti akisimama na mc pilipili hawapendezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
SUDAN na TZ ni nchi zilizotofautiana sn kiuchumi Chifu.M8 nayo mahari?
Uliisikia ile ya sudan kusini?
Dola
Magari
Ngombe
Vya kutoshaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hongera imetokea rohoni mwako kabisa kwa upendo wa dhati au ni "danganya toto tu"?Hongera Sana MC Pilipili kwa kutoa mahari ya milioni 5 na pia kutofanya mapenzi na huyo mchumba wako mpaka muoane.
Kama nakuona vile ulivyojaa hasira na hayo macho yako makavu?Mwehu huyu mwanaume mpumbavu kuwahi kutokea katika nchi yetu msiiiiew
Sent using Jamii Forums mobile app
FALA SANA HILO WALA SIYO LA KULIONEA HURUMA HATA KDG, KWANI NANI KALIOMBA KILA INSHU LINALOFANYA LIIANIKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaa mitandao yoote ya kijamii anazungumziwa yeye tuu jamani mpeni hata hongera basi maana sio kwa michambo iyoo laleq
Sent using Jamii Forums mobile app
NDOA INA MENGI NA HUWEZIJUA MC PILIPILI ATAFAULU VZR MTIHANI WAKE, TUWE NA SUBIRA KWA AIBU ALIYOTUPATIA 2019 WANAUME WOTE DUNIANI.Huyu jamaa siku akipewa mzigo atalia tena.
π π π π π πKama nakuona vile ulivyojaa hasira na hayo macho yako makavu?
Pole sana, ngoja nikamchape viboko ili nikupunguzie hasira Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
NAONA KIJANA JNC GANI ULIVYO MPANA KAMA PENSI LA MAREHEMU BI KIDUDE[emoji87]Sio mbunye tu, watu washafukunyua uwani tayari
Ni hongera mkuu,5m usawa huu? Kukaa na demu mrito kama huyo bila kusuza rungu anastahili hongera pia.Hii hongera imetokea rohoni mwako kabisa kwa upendo wa dhati au ni "danganya toto tu"?
Sent using Jamii Forums mobile app