Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,070
- 1,083
Mchekeshaji Emmanuel Mathias aka MC Pilipili ametangaza tayari amempata mwenza wake katika mahusiano na hivi karibuni wataingia kwenye maisha ya ndoa.
MC huyo maarufu kwa sasa siku ya jana alikutana na baadhi ya wadau wake kwaajili ya maandalizi ya shughuli hiyo.
Muda mchache baada ya kumalizika, MC huyo alimpost mchumba wake huyo na kuweka kopa ikimaanisha mapenzi.
Pia MC huyo alipost video ambayo ilikuwa inawaonyesha wadau mbalimbali wakijadiliana kuhusu ndoa hiyo.
“Asante sana kwa MH @ndele_mwaselela mkurugenzi wa @patrickmissionhighschool kwa kudhamiria kubeba sehemu ya Bajeti ya harusi yangu ivi karibuni …asante sana,” aliandika MC Pilipili kupitia instagram yake.