soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,113
Ni kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Ubunifu ndo kitu tunachotaka kutoka kwake..Duh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
Huyo Ayeya ni jamaa wa wapi? Ndo kwanza namsikiaNi kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.
Kwa ninavyojua sifa nyingine ya kuchekesha kama huwezi observational comedy basi uwe unaongea ujinga hapa unaKutana mtu anaitwa Sumaku anaongeaga pumba tamu sana kuzisikiliza.
Ni kweli ila nowadays tumemchoka, nilipata nafasi kucheki show za wenzetu Kenya kwa kweli wapo serious kwenye kazi zaotatizo wabongo mlimshobokea sana na amaizing yake
Nilidhani ni mimi peke yangu. Jamaa vichekesho vyake havinichekeshagiSionagi uchekeshaji wake hata akiwa mc huwa anaharibu sherehe kwa misifa yake ya kuchekesha
Kama yamemshinda arudi darasani akafundishe bado tunamhitajiNi kweli maneno yale yale na kurudia vichekesho vya zamani pia kwenye u mc naona anaongea sana which is not good.
Aisee kuna kitu unamiss kuna show inaitwa 'Churchill show' stand up comedians wa Kenya wanakua wanatoa burudani, hapo ndiyo nikajua Eric anakua analazimisha mtu ucheke fani haiwezi. Icheki hiyo ishu hata Youtube mkuu.Huyo Ayeya ni jamaa wa wapi? Ndo kwanza namsikia
hivi harusi yako mtu mzima unamuwekaje mc pilipili ?Ni kweli maneno yale yale na kurudia vichekesho vya zamani pia kwenye u mc naona anaongea sana which is not good.