Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

soul provider

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,113
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.

Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.

Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.

Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
 
Anaonekana amejisahau kwa mafanikio aliyopata, anashindwa kutengeneza story/comedy mpya tho kipaji anacho kikubwa tu. Na izo sherehe anazokua MC kila week ndo zinamfanya azoeleke mapema sana. You can always tell atasema nini. Ushauri: apate muda wa ku relax kuja na story mpya tofaut na tunazozijua tayari, before its too late.
 
Anaiga vichekesho vya Kenya ajaribu kuwa mbunifu kama Futuhi na wengine
 
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Ni kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.
Kwa ninavyojua sifa nyingine ya kuchekesha kama huwezi observational comedy basi uwe unaongea ujinga hapa unaKutana mtu anaitwa Sumaku anaongeaga pumba tamu sana kuzisikiliza.
 
Huyo Ayeya ni jamaa wa wapi? Ndo kwanza namsikia
 
Back
Top Bottom